Gavana wa Nandi awaonya wakandarasi wasiokamilisha miradi

  • | Citizen TV
    68 views

    Gavana wa kaunti ya Nandi Stephen Sang amesema kuwa atawachukulia hatua kali wanakandarasi wote wazembe ambao wanajikokota kukamilisha miradi mbalimbali ya kaunti hiyo.