28 Aug 2025 1:47 pm | Citizen TV 162 views Duration: 1:06 Gavana wa kaunti ya Nandi Stephen Sang amesema kuwa atawachukulia hatua kali wanakandarasi wote wazembe ambao wanajikokota kukamilisha miradi mbalimbali ya kaunti hiyo.