- 2,100 viewsDuration: 1:22Cheche za maneno zinazoshuhudiwa Kwa Sasa kati ya Rais na vinara wa upinzani, zinaelekea kuwahatarishia wakenya maisha na zaidi kusitisha maendeleo. hiyo ni kauli ya Gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga ambaye ameikosoa mirengo yote dhidi ya kutukanana hadharani.