Gavana wa Siaya analalamikia kucheleweshwa kwa mgao wa kaunti

  • | Citizen TV
    337 views

    Gavana wa Siaya James Orengo analalamikia kucheleweshwa kwa mgao wa fedha za kaunti tangu mwezi Februari. Orengo anasema hali hiyo imeathiri mishahara ya wafanyakazi wa kaunti na utendakazi wa idara mbalimbali . orengo ametaja hatua hiyo kama njama ya serikali kuhujumu ugatuzi nchini.