Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Trans Nzoia amekuwa akipokea wajumbe wa kisiasa

  • | Citizen TV
    15,681 views
    Duration: 3:19
    Katika siku za hivi majuzi, gavana wa Trans Nzoia George Natembeya ameonekana kusogea nje ya mipaka ya siasa za kaunti yake, akipokea wajumbe wa kisiasa kutoka maeneo mbalimbali na pia kuzuru kaunti zingine akitafuta uungwaji mkono. Swali kuu kwa sasa ni: Je, hii ni dalili kwamba huenda asitetee kiti chake cha ugavana 2027 na mishale yake sasa imelenga moja kwa moja ikulu?