13 Oct 2025 10:35 am | Citizen TV 4,764 views Duration: 1:46 Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya amedokeza kuwa atakuwa miongoni mwa wanasiasa wanaomezea mate tikiti ya urais kupitia muungano wa upinzani katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.