Gavana wa Transnzoia George Natembeya aomboleza Jen. Francis Ogolla

  • | Citizen TV
    2,490 views

    Aliyekuwa mratibu wa bonde la ufa ambaye ni gavana wa Trans Nzoia George Natembeya amewataka wakazi na viongozi wanaoishi katika bonde la kerio kudumisha amani kana heshima kwa jenerali Francis Ogolla aliyeaga dunia akiwa katika safari ya kutafuta amani katika eneo hilo. Natembeya anasema sawia na jenerali Ogolla, walifanya kazi kuhakikisha eneo hilo ni salama kwa wakazi na kufanikisha miradi ya maendeleo.