Gavana wa Turkana asema hatishwi na tume ya kukabiliana na ufisadi nchini

  • | KBC Video
    130 views

    Gavana wa Turkana Jeremiah Lomurukai asema hatotikiswa na tume ya kukabiliana na ufisadi nchini na ataendelea kutekeleza majukumu yake ipasavyo. Akiongea siku moja baada ya tume hiyo kudokeza kuwa itamtia nguvuni gavana huyo kwa madai ya kuwa na stakabadhi gushi za masomo, Lomurukai alidai kuwa tume hiyo inajaribu kutatiza utoaji huduma katika baadhi ya serikali za kaunti.Alisema hayo wakati wa mkutano wa amani huko Lokiriama kaunti ya Turkana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #turkana #JeremiahLomurukai#dirayamagwiji