Gavana wa zamani Samburu Moses Lenolkulal apatikana na hatia ya ufisadi

  • | Citizen TV
    1,203 views

    Jioni hii ya leo, Gavana wa zamani wa Samburu Moses Lenolkulal anaingia kwenye kumbukumbu kama gavana wa kwanza kupatikana na hatia ya ufisadi. Mahakama ya ufisadi imempata Lenolkulal na hatia ya kutwaa shilingi milioni 84 kinyume na hatia kwa kuipa kampuni yake kandarasi alipokuwa gavana. Aidha, gavana huyu wa zamani aliyeshtakiwa na wenzake kumi amepatikana na hatia ya utumizi mbaya wa mamlaka huku mahakama ikitarajiwa kutoa hukumu hapo kesho,