Gavana Wamatangi afanya mabadiliko katika mpango wa ununuzi wa dawa katika kaunti ya Kiambu

  • | Citizen TV
    267 views

    Kufuatia tetesi kuwa kuna ufisadi katika mpango wa ununuzi wa dawa na vifaa vingine vya hospitali katika kaunti ya kiambu, Gavana Kimani Wamatangi amefanya mabadiliko katika namna shughuli hiyo inavyoendeshwa ili kuboresha huduma za afya kaunti hiyo.