Gavana Wanga asema chama cha ODM bado kiko ndani ya muungano wa Azimio

  • | KBC Video
    68 views

    Gavana wa kaunti ya Homa Bay ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha ODM Gladys Wanga amekariri kwamba chama hicho bado kiko ndani ya muungano wa Azimio la Umoja licha ya uamuzi wa kushirikiana na mrengo wa Kenya Kwanza katika serikali jumuishi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive