Gavana Wavinya Ndeti amkosoa Raila kwa kubali ODM kuingia serikalini

  • | Citizen TV
    1,263 views

    ’Wiper Sasa Itafanyika Upinzani.’’ Ndio Usemi Wake Gavana Wa Kaunti Ya Machakos Wavinya Ndeti.Kauli Hii Ameitoa Saa Chache Baada Ya Rais William Ruto Kuwajumuisha Viongozi Wa Odm Katika Baraza La Mawaziri.