Gavana Wavinya Ndeti azindua mpango wa chakula katika shule za chekechea

  • | Citizen TV
    197 views

    Wanafunzi wa chekechea katika shule za umma kaunti ya Machakos sasa watakuwa wakipewa chakula kupitia mgano ulioanzishwa na gavana wa kaunti hiyo Wavinya Ndeti.