- 7,509 viewsDuration: 2:43Vijana leo wamejitokeza katika uwanja wa kasarani huku wakiendeleza kampeni ya kuwataka vijana zaidi kujisajili kuwa wapiga kura kwa maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao. Kampeni hiyo ya 'tuko kadi' ikiwataka vijana kujitayarisha kuchagua viongozi bora mwakani.