Gen Z wamepokea kwa bashasha na furaha hatua ya Rais kulivunja baraza lake la mawaziri

  • | Citizen TV
    17,160 views

    Nao Vijana wa Gen Z wamepokea kwa bashasha na furaha hatua ya Rais kulivunja baraza lake la mawaziri. Vijana kutoka kaunti mbali mbali wakimtaka rais William Ruto kuendeleza marekebisho haya katika idara na taasisi mbali mbali za umma ili kuimarisha uongozi bora