Gen-Z warejea Barabarani

  • | Citizen TV
    2,319 views

    Makabiliano makali kati ya polisi na waandamanaji yalishuhudiwa katika mji wa kitengela kwa takriban kutwa nzima. Polisi wakitumia vitoa machozi na hata risasi kuwatawanya waandamanaji waliofika kwa wingi na kufunga barabara ya kuelekea namanga.