Genge la vijana lahangaisha wakazi wa Malindi, kaunti ya Kilifi

  • | Citizen TV
    161 views

    Wanachama wa genge la vijana wanaowahangaisha wakazi wa mji wa Malindi, kaunti ya Kilifi wamekamatwa katika operesheni ya usalama iliyoendeshwa na polisi wa eneo hilo.