Genge lenye silaha lawavamia wakazi wa Kisauni

  • | Citizen TV
    355 views

    Kijana mwenye umri wa miaka 17 amekamatwa kwa tuhuma za shambulizi lililomwacha mwanamke mmoja akiuguza majeraha katika zahanati moja Kisauni kaunti ya Mombasa.