George Magoha akariri kuwa ataendelea kuzindua na kukagua madarasa ya mtaala mpya wa elimu

  • | KBC Video
    7 views

    Waziri wa elimu George Magoha amekariri kuwa ataendelea kuzindua na kukagua madarasa ya mtaala mpya wa elimu kote nchini. Wizara hiyo imeshtumiwa kutokana na shughuli ya kufuatilia mradi wa ujenzi wa madarasa ya mtaala mpya wa elimu huku baadhi ya watu wakidai kuwa shughuli hiyo imesababisha ufujaji wa pesa . Magoha hata hivyo amesema uamuzi wake wa kufuatilia ujenzi wa madarasa hayo unatokana na haja ya kutoa ripoti za kuaminika kuhusu mradi huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News #cbc #georgemagoha #elimu