Ghadhabu ya ‘wizi’ wa miraa

  • | TV 47
    27 views

    Kijana adungwa sindano sehemu za siri kwa kushukiwa kuwa mwizi wa miraa.

    Familia ya shadrack muriira yaomba haki na msaada wa matibabu.

    Mfanyakazi wa afya adaiwa kumdhulumu kijana kimwili na kumdunga kemikali.

    Mshukiwa ajigamba kesi haitafika popote, familia yapokea vitisho.

    #TV47Matukio

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __