Ghana ilivyokosa Kombe la Dunia la Afrika Kusini

  • | BBC Swahili
    Alhamisi, ilikua ni miaka 10 tangu Ghana ilivyopoteza ushindi katika mchuano wa robo fainali dhidi ya Uruguay- kwa sababu ya goli la Suarez lenye utata lililofungwa kwa mkono. Kama Black Stars wangeshinda, wangekua ni timu ya kwanza ya Afrika kufika mbali katika shindano hilo maarufu. Badala yake bado wanaendelea kuishi na kumbukumbu ya hisia za huzuni ya hali ya juu. #Michezo #kombeladunia #bbcswahili #Ghana