Gharama ya CBC | Wadau waitaka serikali kuongeza ufadhili

  • | KBC Video
    20 views

    Washikadau katika sekta ya elimu wametoa wito kwa serikali kulipia gharama ya vifaa vya masomo kuwezesha walimu kutekeleza mtaala wa elimu wa CBC. Hayo yanajiri huku shule za kibnafsi humu nchini zikisema zimeathirika zaidi zikitafuta fedha zaidi kugharamia masomo. Walimu wakuu hata hivyo wamekubaliana na mapendekezo ya kufanyia marekebisho mtaala huo ingawa wanalalamika kuhusu gharama ya juu ya masomo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #elimu #News #CBC