Gharama ya juu ya maisha imeathiri Wakenya

  • | KBC Video
    22 views

    Gharama ya juu ya maisha imeathiri Wakenya kiasi kwamba wengi wao wanakosa kupata chakula cha siku. Taasisi ya utafiti na uchambuzi wa Sera za Umma imesema licha ya nyongeza ya asilimia-12 ya mshahara wa chini, bei ya bidhaa muhimu na huduma imepandwa kwa asilimia 22 na hivyo kudumiza manufaa ya nyongeza hiyo ya mshahara ya mwaka-2022. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News