Gharama ya matibabu ya magonjwa ya figo bado inawatatiza maelfu ya wagonjwa

  • | K24 Video
    31 views

    Gharama ya matibabu ya magonjwa ya figo bado inawatatiza maelfu ya wagonjwa, na imetajwa kama kizuizi cha upandikizaji wa figo. Wengi wanaougua figo sasa wanatibiwa hapa nchini, kinyume na awali ambapo walilazimika kuenda ng'ambo kwa matibabu.