Gharama Ya Mauti: Ni Wiki Moja Tangu Eunice Atieno Na Wanawe Watatu Kufa Moto

  • | NTV Video
    245 views

    Ni wiki moja sasa tangu Eunice Atieno mwenye umri 45, pamoja na wanawe watatu kuteketezwa na moto na mpenziwe ambaye bado yuko mafichoni, huku kamanda wa polisi, Kisumu mashariki, akielezea NTV kuwa bado wanamsaka.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya