Gharama za matibabu Kenya ni changamoto kwa wagonjwa wa figo

  • | VOA Swahili
    125 views
    Gharama ya matibabu ya figo na uhaba wa vituo vya kufanya vipimo ni changamoto kubwa kwa wagonjwa wa figo kupata tiba nchini kenya kama ilivyo katika mataifa mengi barani afrika. Takwimu za wizara ya afya zimebaini kuwa takriban zaidi ya watu milioni tano wanamatatizo ya figo nchini Kenya huku vifo vikikadiriwa kufikia 4000 kwa mujibu wa shirika la Afya dunaini. Na hinyo serikali inaendela kuhamasisha wananchi kupima mapema ili kubaini ugonjwa huu kabla haujaathiri figo. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.