Skip to main content
Skip to main content

Ghasia za uchaguzi mdogo | Mtu ajeruhiwa Embu, mmoja akamatwa Kakamega

  • | Citizen TV
    1,801 views
    Duration: 3:12
    Mtu mmoja amejeruhiwa na mali kuharibiwa kufuatia ghasia zilizozua kwenye uchaguzi mdogo wa wa wadi ya Evurore kaunti ya Embu. Katika taharuki hiyo, mwathiriwa amedai kufumaniwa na wafuasi wa mgombea mmoja katika hali tata. Vile vile, mtu mmoja alikamatwa kaunti ya Kakamega kwa madai ya kujaribu kuvuruga uchaguzi mdogo wa wadi ya West Kabras eneobunge la Malava.