Ghasia zashuhudiwa bunge la kaunti ya Wajir

  • | Citizen TV
    348 views

    Vikao vya bunge la kaunti ya Wajir vyasambaratika baada ya mzozo kuzuka na kusababisha makabiliano makali kati ya wawakilishi wadi. Mzozo huo ulitokea baada ya wawakilishi wodi kuzozana kuhusu bajeti ya mwaka wa fedha iliyopendekezwa.