Ghasia zashuhudiwa katika shamba la Ndabibi, Naivasha

  • | Citizen TV
    4,287 views

    Ghasia zilishuhudiwa katika shamba la Ndabibi huko Naivasha pale maafisa wa polisi walipomzuia aliyekuwa mgombea wa urais Jimi Wanjigi kufanya hafla ya shukranikatika shamba hilo.