Ghasia zilishuhudiwa asubuhi sokoni wakulima

  • | Citizen TV
    1,027 views

    Hali ya kizaazaa ilishuhudiwa katika soko la wakulima Nairobi baada ya wachuuzi kupinga mpango wa serikali ya kaunti ya nairobi wa kuwahamisha hadi soko lililoko Kangundo road. Wachuuzi wenye ghadhabu walikabiliana na maafisa wa kaunti na kusababisha kuteketezwa kwa jumba la kuweka bidhaa za kaunti linalopakana na soko hilo.