Gor Mahia wameondolewa kwenye droo ya klabu bingwa barani Afrika

  • | Citizen TV
    923 views

    Mabingwa wa ligi kuu ya taifa ya kandanda Gor Mahia wameondolewa kwenye droo ya klabu bingwa barani Afrika baada ya kushtakiwa na wachezaji watatu wanaodai marupurupu yao baada ya kutimuliwa kutoka klabu hiyo.