Gor Mahia yaingia kambini chini ya kocha mpya Charles Akonnor, yaashiria mwanzo mpya

  • | Citizen TV
    306 views

    MABINGWA MARA 21 WA LIGI KUU YA KANDANDA GOR MAHIA FC HATIMAYE WAMEANZA MAZOEZI YAO YA KABLA YA MSIMU BAADA YA KUWASILI KWA KOCHA MPYA CHARLES AKONNOR KUTOKA GHANA. KUANZA KWA MAZOEZI KUNAASHIRIA MWANZO WA SURA MPYA KWA TIMU HIYO HUKU KOCHA AKONNOR AKIWALETA WASAIDIZI WAKE KUTOKA NYUMBANI KWAO GHANA