Gor Mahia yajitayarisha kutetea taji la FKF-KPL

  • | Citizen TV
    282 views

    Baada ya mapumziko ya miezi miwili, ligi kuu ya kandanda nchini inatarajiwa kuanza kutifua vumbi hapo kesho kwa msimu wa mwaka 2023/24.