Gov.Natembeya amezitaka serikali za kaunti na kitaifa kuongeza mgao wa pesa katika sekta ya michezo

  • | Citizen TV
    640 views

    Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya amezitaka serikali za kaunti na kitaifa kuongeza mgao wa pesa katika sekta ya michezo ili kuwawezesha maelfu ya vijana kupata fursa ya kuimarisha vipaji vyao pamoja na mapato kupitia michezo.