Grace Mulei aachiliwa kwa dhamana ya Sh10,000 baada ya kuzuiliwa

  • | NTV Video
    832 views

    Grace Mulei, mwanamke aliyekamatwa jana alipokuwa akitafuta matibabu ya goti katika hospitali ya Ladnan, iliyoko katika mtaa wa Eastleigh ameachiliwa kwa dhamana ya pesa taslimu ya Sh10,000 baada ya kuzuiliwa kwa zaidi ya saa kumi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya