GSU na KCB wabeba ubingwa wa kwanza wa kombe la Kenya la voliboli Kasarani

  • | NTV Video
    63 views

    Klabu ya Voliboli ya wanaume ya GSU na ya wanawake ya KCB ndio mabingwa wa makala ya kwanza ya kombe la Kenya ambalo fainali yake iliandaliwa kwenye ukumbi wa uwanja wa kimataifa wa MOI Kasarani.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya