GSU wakandamiza wanajeshi katika mchezo wa voliboli

  • | Citizen TV
    547 views

    Mabingwa watetezi gsu wamerejea kileleni kwenye ligi kuu ya voliboli nchini baada ya kuwaadhibu wanajeshi wa kdf kwa seti 3-1 kwenye mechi iliyochezwa katika uwanja wa kitaifa wa nyayo mjini nairobi.