Hadithi ya muigizaji wa Vioja Mahakamani David Aliwa, aliyeuzwa na babake mzazi akiwa mtoto

  • | KBC Video
    22 views

    Wengi wanamfahamu kutokana na jukumu lake la kiongozi wa mashtaka katika kipindi cha ucheshi cha Vioja Mahakamani kwenye Runinga ya KBC Channel1. Lakini David Aliwa anajushughulisha na mengi likiwemo kunasihi vijana. Je, nini kilichompa Aliwa msukumo wa kufanya unasihi? Hii ni hadithi ya David Aliwa jinsi inavyosimuliwa na Marie Yambo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive