Hafla ya kukaribisha timu ya Shabana yafanyika Kisii

  • | Citizen TV
    1,324 views

    Hafla ya sherehe ya kukaribisha timu ya Shabana katika mji wa Kisii inaendelea baada ya timu hiyo kuibuka mabingwa katika ligi ndogo ya NSL. Sherehe hiyo kwa sasa inaendelea katik uga wa Gusii ikiongozwa na Gavana wa Kisii Simba Arati na washikadau mbalimbali, hii.leo timu ya Shabana pia ikitarajiwa kupata wadhamini baada ya kupandishwa ngazi .