Hafla ya siku tano ya kuliombea taifa yakamilika

  • | Citizen TV
    295 views

    Hafla ya siku tano ya kuliombea taifa chini ya ushirikiano wa makanisa mbalimbali jijini nairobi imekamilika hii leo huku vijana wakishauriwa kusemezana na serikali ili kuzuia makabiliano. Serikali pia imetakiwa kutekeleza ahadi zote ilizotoa kwa wakenya ili kuhakikisha uwajibikaji.