- 156 viewsDuration: 1:45Wakenya wameshauriwa kukumbatia matumizi ya lugha ya kiswahili kila mara, hasa kwa kusoma vitabu na kufanikisha masomo ya kiswahili katika taasisi za elimu, kama njia moja ya kumkumbuka na kumsherehekea marehemu mwandishi ken walibora aliyebobea katika tasnia ya uandishi wa kiswahili.