Haiti: UN yakadiria magenge yameongezeka kwa asilimia 100

  • | VOA Swahili
    51 views
    Desemba mwaka 2022 Umoja wa Mataifa ulikadiria magenge yalidhibitiwa kwa asilimia 60 kutoka mji mkuu wa Haiti. Hivi sasa mitaa mingi ya Port au Prince, UN inasema idadi ya magenge hayo yanakadiriwa kuwa asilimia 100. Ungana na mwandishi wetu akikuletea muhtasari wa yale yaliyotokea baada ya Rais wa Haiti kuuawa na baadae nchi kuingia katika ghasia. Endelea kusikiliza namna wananchi wanavyoeleza wasiwasi na hofu iliyoligubika taifa hilo.. #un #umojawamataifa #portauprince #magenge #silaha #mauaji #rais #wazirimkuu #voa #voaswahili #usalama #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.