Haiti: Wakazi wa vitongoji vya mlimani wachukua sheria mikononi mwao kukabiliana na ujambazi

  • | VOA Swahili
    327 views
    Wakazi wa vitongoji vya milimani nchini Haiti wanajilinda wenyewe kwa mapanga, chupa na mawe kwa kupambana na magenge ya uhalifu. Ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo kamili nini kilichosababisha wananchi hao kuchukua sheria mkononi mwao. Endelea kusikiliza... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.