Haji aagiza kundi la 'Lamu County Politics Unlimited' kuchunguzwa

  • | KBC Video
    Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Haji ameagiza uchunguzi dhidi ya watu wanochapisha semi za uchochezi kwenye mtandao wa Facebook kupitia kundi linalojiita Lamu County Politics Unlimited.Kwenye barua kwa inspekta jenerali wa polisi,Haji alisema kuna majina 12 bandia yanayotumia kwenye kundi hilo kuwasilisha jumbe za uchochezi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #LamuInsecurity #Hji