Haki za Utoaji Mimba nchini Kenya- Ufichuzi wa BBC Africa Eye

  • | BBC Swahili
    523 views
    Takriban wanawake saba hufariki kila siku kutokana na utoaji mimba usio salama nchini Kenya. - Utata wa kisheria kuhusu utoaji mimba nchini Kenya unasukuma maelfu ya wanawake kwenda kwenye kliniki zisizo rasmi kutoa mimba. - BBC Africa Eye inachunguza janga lililojificha dhidi ya utoaji mimba nchini humo. #bbcswahili #BBCAfrikaeye #upekuziwabbcafrikaeye #habarizauchunguzi, #Kenya #Nairobi #roevwade #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw