Hakuna wakati damu itamwagika ama mali kuharibiwa kwa sababu ya misingi ya kisiasa.

  • | K24 Video
    484 views

    Stephen Sang: Sisi tulishakubaliana kwamba hakuna wakati damu itamwagika ama mali kuharibiwa kwa sababu ya misingi ya kisiasa. Rift Valley iko imara. #KURA2022 #KenyaDecides2022