Skip to main content
Skip to main content

Hakuna wakenya watakaoruhusiwa kwa kazi hizi

  • | Citizen TV
    2,866 views
    Duration: 3:02
    Wakenya sasa hawatasajiliwa tena kwenye majeshi yanayopigana nchini urusi. Haya yameafikiwa baada ya mkutano wa kidiplomasia kati ya waziri wa mambo ya Kigeni Musalia Mudavadi na mwenzake wa urusi Sergey Lavrov kufanyika leo jijini Moscow. Hata hivyo, serikali ya urusi imesema haitagharamia kurejeshwa kwa wakenya waliokwama nchini humo.