Hali ilivyo mpakani mwa Tanzania na Malawi baada ya utata wa biashara

  • | BBC Swahili
    95,012 views
    Shughui za uchukuzi kati ya Tanzania na Malawi zimepungua mpakani baada ya Tanzania kuweka marufuku ya kulipiza kisasi dhidi ya bidhaa za kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini. Mwandishi wetu @sammyawami yuko Kasumulu mpaka wa Tanzania na Malawi na ametuandalia taarifa hii. 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #tanzania #biashara Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw