Hali ngumu ya maisha yaathiri sherehe za Maulid Lamu

  • | Citizen TV
    269 views

    Kwa siku ya pili, wakaazi kutoka maeneo mbalimbali kaunti ya Lamu wanaendelea kumiminika Kisiwani Amu kwa Sherehe za Maulidi zinazoadhimishwa kila Mwaka .Ni sherehe ambazo mwaka huu hazijashuhudia idadi kubwa ya wageni Ikilinganishwa na sherehe za Maulidi za awali. Hali hiyo imesababishwa na hali ngumu ya maisha na kupanda kwa bei ya bidhaa