Hali tete yaendlea kushuhudiwa DRC huku mashambulizi yakizidi kati ya M-23 na wanajeshi wa Congo

  • | Citizen TV
    6,219 views

    Hali inaendelea kuwa tete katika mji wa goma nchini DRC Congo, mashambulizi yakizidi kati ya wapiganaji wa M-23 wakikabiliana na wanajeshi wa Congo pamoja na maafisa wa kulinda amani katika taifa hilo